Ghetto la robert Rais Mugabe

Sikubali waafrika tuna uwezo mdogo wa kufikiri.

Uchunguzi wa muda mrefu wa sisi tulivyo ambao mimi
nakaubaliana nao ni huu hapa:

Hatua tatu za mtu kukua kisaikolojia ni kuzaliwa na
Id, tamaa zisizowaza wengine za kitoto,
ego, tamaa ya kujiona wewe kwanza japo unaanza kuwaza wengine kidogo,
na superego, ile hali ya kujua vizuri jamii inakutaka uweje.

Id, ego, na super-ego si kufikiri: ni hulka.

waafrika wengi wapo fixed kwenye id. wanasoma sana, wanaweza kumbuka fomula zote duniani
lakini kwa kuwa hawajafanikiwa kupanda ngazi kuiacha id, wanaendelea kuendekeza mahitajio ya kitoto.
ukitaka kujua sikiliza tv. mtaro umechafuka mtaani, watu wanatame serikali ije iuzibue.

Kuna tatizo katika hizi psychoanalytic development stages. tupo fixed somewhere,
hapo kwenye id na ego: na hiki ndicho kinaitwa Miafrika selfish sana. an infantile fixation
and that has nothing to do with ability to remember formulas.

ndiyo maana unaweza kuta mtu ana CV kali sana lakini anafanya madudu very very selfish.

It's an under developed super-ego or a FIXED ID. Hili ndio tatizo la mtu mweusi!



 

He fought the war while others were at home sleeping.
He deserves it let the old man enjoy. Bravo 'BOB' I like your style.
 
i used to believe that fella was a patriot.naona bora nifate ule msemo unaosema trust no one
unaweza ukamuamini leo Dr Slaa afu nayeye akaja kua ivoivo,I HATE POLITICS
 
mbona nyumba ya kawaida,mnataka kusema toka awe rais mshahara wake na malupulupu autoshi kujenga hiyo nyumba,acheni wivu mbona kijana kama justin biba anayo zahid ya hiyo,hio kwangu ni nyumba ya kawaida,hivi mshaona crib ya 50 cent?
 
You need to see beyond the scene to know why these happened and will never happen in the future!! Those days are over! hata wazungu kuna muda walikuwa kama huyu mzee.
 
Mgabe katuwakilisha waafrika kwamba tukiwezeshwa tunaweza. Sio lazima uwe na pua ndefu ili uwe tajiri.
 
Hivi kama umezaa watoto wawili tu na unakuwa na jumba kubwa kama hilo si utapwaya ndani ya nyumba?
 
Mwaka 2006 Picha za nyumba hii hiii ziliwahi ku circulate kwenye emails na madai kuwa ni Nyumba ya Yusuf Manji.
Sasa jengo hilo hilo tena limekuwa la Mugabe?
Huyu mjinga aliyeleta huu uzi ajaribu kumuuzia Shigongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…