Ghetto breakfast. ..

Mtindi na yai la kuchemsha. Hilo bomu unatengeneza hapo.
 
Haaaa a haaaa ndo mana siku hiz Wana wake wanadharau ndani
Ni kwasababu wanaume wamebaki wachache, na ukidharaulika huna ujanja zaidi ya kuwa mpole tu maana unajua anajua weakness zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…