kibaigwa finest
Senior Member
- Oct 18, 2026
- 189
- 210
Mtangazaji wa mpira wa miguu kutoka kampuni kubwa la matangazo la AZAM MEDIA LIMITED GHARIBU MZINGA anamkosea Sana shabiki wa mpira anaye igiza Kama mwl nyerere kwenye mechi za yanga GHARIBU MZINGA akimuona huyu jamaa pindi kamera inapomuonyesha nakusema Ni NYERERE WA KUCHAJI sio Mara ya Kwanza kusema hivyo mechi ya ligi yanga vs pampa jiji na Jana kwenye mechi ya ligi ya mabingwa yanga vs cffa .hii sio sawa kabisa Kama taifa inabidi tumpe moyo huyu jamaa kwa ujasiri na uwezo wa kusimama Kama mwl nyerere mwanzo wa mechi Hadi mwishoni mwa mechi
Afanye kazi aacha kujilegezaAah jamaa na yeye anapambana apewe magari kama yule mkongo
Aah jamaa na yeye anapambana apewe magari kama yule mkongo
UPUMBAVU. NI NYERERE WA KUCHONGWA, WA KUCHARGE AKABUNI JAMBO LAKE SI KUMUIGA P. Lumumba wa Congo.
Afanye kazi aacha kujilegeza
Mwalimu J. K. Nyerere πMkuu samahani mpe na jina mbadala sasa anatakiwa akionyeshwa amuiteje?
Kwani ndo yeye?Mwalimu J. K. Nyerere π
Au Kinyago cha mwalimu Au basiMkuu samahani mpe na jina mbadala sasa anatakiwa akionyeshwa amuiteje?
Sisi watu wa vijijini tunao amini bado Rais ni Nyerere tunaamini yule ndiye.Kwani ndo yeye?
Sasa Mzinga sio mtu wa kijijini we nae. πππSisi watu wa vijijini tunao amini bado Rais ni Nyerere tunaamini yule ndiye.
Mkuu ujue hata kwenye usanamu yule jamaa hayupo.Amemkosea Nyerere Au amekosea sanamu lake
Mi naona hiyo Mwalimu Nyerere wa kuchaji hata haiko vibaya.Au Kinyago cha mwalimu Au basi
Basi angalau ajali hisia za sisi wa vijijini. Tunaumia anapomwita baba wa Taifa "Nyerere wa kichovya".Sasa Mzinga sio mtu wa kijijini we nae. πππ
Hahahaaa. Daah!Basi angalau ajali hisia za sisi wa vijijini. Tunaumia anapomwita baba wa Taifa "Nyerere wa kichovya".
Mkuu samahani mpe na jina mbadala sasa anatakiwa akionyeshwa amuiteje?