Gharama zakufanya Dialysis (kusafisha Dany)

Gharama zakufanya Dialysis (kusafisha Dany)

Ushauri wa bure,
Sisi sote ni marehemu watarajiwa but MTU akisha fikia hatua huyo surviving chance ni ndogo ni bora kuanza kujiandaa kwa yatarajiayo.
Ukweli mchungu,wasije wakauza nyumba kuokoa maisha ya huyo mpendwa,ni angaliizo tu,
 
Pole sana, nimepitia kipindi hicho , mgonjwa wangu tulipewa taarifa tofauti na zinazo changanya hapo hapo Muhimbili, walituambia hakuna bima inayo cover malipo ya Dyalisis na hivyo malipo ni cash , na hakuna msamaha wala hakuna mgonjwa kufanyiwa halafu mlipe baadae wakatuambia uongozi ume badilika hivyo ni cash kwanza, kwenye kitengo hicho nikaona watu wanatoka wana lia sababu hawana pesa.
Sijui wali tudanganya ili tulipe baada yake nakuja sikia kamba kuna watuw an amsamaha mpaka wanalipa 60k per session na wengine wnaomba mpaka hiyo wapunguziwe na pia nikasikia bima ina cover , kikweli siku elewa why walitupa taarisa sizizo sahihi.
Nenda hapo Muhimbili waulize vizuri na usiku bali kujibiwa na mtu mmoja inaonekana kuna kama kamchezo fulani hapo wa kukukatisha tamaa ili ulipe bei kubwa au kutoa ruswa ili wakupunguzie .
 
Hello guys!!

Naomba kujuzwa gharama zakufanya Dialysis kwa Tanzania zikoje!
Ushauri wa bure.

Garama za kusafisha figo ni kubwa sana kulinganisha na mazingizra yetu. Hospital nyingi za kiserekali ni kuanzia 180k kwa session moja. Maanake kama umeambiwa unataikiwa session 3 kwa wiki maanake ni 540K. Najua bima haiwezi kuzilipa zote. Kama ukienda hoapital kubwa haoa mjini kama Agakhani ambazo mashine zake ni modern kabisa session moja ni hadi laki 4, maana mara 3 ni milion na malaki.

Nawashauri watu wajitahidi ku keep mafigo yao active kwa matumizi ya tiba mbadala ambazo hutibu na kuzuia uharibifu wowote wa figo. Endapo tayari wameshaathirika basi wanapaswa wafanyiwe dialysis huku wakiendelea na hizi tiba mbadala ili kupunguza session za dialysis na hatimae kuacha kabisa.

Tiba wanazoweza kutmia ni

1. Organic india liver and kidney care ni ya vidonge

2. Stemcell therapy cellifezy ya unga

3. Hepato spleen kidney solution ya maji.

Matumizi ya tiba hizi yatasaisia figo lako kudumu active zaidi ya miaka unayorubusiwa kuishi.

Wasiliana nami kwa maelekezo.zaidi na namna ya kuoata hizi tiba. 0719794789
 
Back
Top Bottom