Gharama za wastani za fundi

MTS

Senior Member
Mar 29, 2016
167
107
Habari wana jamvi.
Naomba Kwa wale wenye uelewa na ufundi wa kujenga, nataka kujenga Nyumba yenye vyumba 3 vya kulala, sebule, jiko, choo public na kichumba kidogo cha kusomea. Je, kuanzia kuçhimba msingi, kuujenga na kupandisha Nyumba hadi linta itanigarimu sh ngapi? Au Kwa maana rahisi nimpe Fundi sh ngap? Nyumba inajengwa maeneo ya kiluvya madukani Kwa sumaye ( PM-zamani)

Ushauri please Kwa mwenye uelewa huo, asanteni
 
2mil mpaka 2.5mil...wengine wanafanya tofauti,kuseti nyumba,msingi,boma,linta,kozi mbili za juu badala ya linta kila hatua ina bei yake.
 
Back
Top Bottom