Kuna mtu alipima hindu mada.. 50, 000/=. cash non negotiable.Habari wakuu,
Hiv karibuni serikali ilitangaza kwwmba imeongeza vifaa vya upimaji wa homa ya dengue na hivyo kushusha gharama kutoka 45000 mpaka kati ya 15000 na 20000.
Sasa naomba kuuliza kwa waliopima hivi karibuni gharama ya upimaji ni kiasi gani?
Naomba mnisaidie maana hali naona siyo nzuri, nq ninahitaji kwenda kupima ila sijui gharama.
Asante