Gharama za Umeme

Gharama za Umeme

Maysally

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
54
Reaction score
21
Habari gani wana jf?Naomba kusaidiwa nyumba ambayo nimepanga huwa umeme unaisha mapema sana tena unakaa wk 1 kwa umeme wa laki naa,je hii inaweza kusababishwa na history maana nasikia mwenye nyumba alikua anaiba umeme zamani.Na je nifanyeje kupata umeme wangu tofauti na wenzangu?naomba msaada wanaojua
 
Mimi ni fundi umeme na kuna maswali ningependa kukuuliza private kama hautajali nipigie hapa: 0787577755 au 0717577755.
Karibu!
 
ningekuwa mm nisingekupigia...avatar yako inatisha mkuu
 
Habari gani wana jf?Naomba kusaidiwa nyumba ambayo nimepanga huwa umeme unaisha mapema sana tena unakaa wk 1 kwa umeme wa laki naa,je hii inaweza kusababishwa na history maana nasikia mwenye nyumba alikua anaiba umeme zamani.Na je nifanyeje kupata umeme wangu tofauti na wenzangu?naomba msaada wanaojua

Kwa hilo tatizo lako mita hapo ina deni,Ushauri wangu hapo inabidi uwende kwenye ofic za tanesco uonane na afisa uhusiano akupe ushauri nae lakn mara nyingi kama deni la iyo mita haizidi lakn tano unaweza kuöngezewa mita ya pili,mie ni Fundi umeme napatikana maeneo ya ilala boma,kwa msaada zaidi tuwasiliane-wasap 0718302132
 
Back
Top Bottom