PresidentSalum
Senior Member
- Dec 3, 2006
- 189
- 21
Nichek inbox kuna masai anauza mbuz cheap kwel kwel morogoro...na wana mimba
Usafiri unapakza magari haya ya mizigo.... Anauza 45-40Anauzaje ? Jee usafiri kama mnunuzi hayupo Morogoro?
Usafiri unapakza magari haya ya mizigo.... Anauza 45-40[/QUOT
Oops sorry wenye mimba anauza 60-55 wakuzaa twins ila hawa wasio na mimba anauza hyo 45-40
eneo lina hela 3, sehemu kubwa kati ya hizo hela 3 nitatumia kwa shughuli za kilimo na nyingine kwa ajili ya ufugaji.Eneo lako lina ukubwa gani?
poa nitashukuru kwa msaada. Moro sehemu ganiNichek inbox kuna masai anauza mbuz cheap kwel kwel morogoro...na wana mimba
ni aina gani hawa wanaozaa mapacha ?Nunua wale wanaozaa mapacha
poa nitashukuru kwa msaada. Moro sehemu gani
Mbuzi wa kisasa wanapatikana wapi ndugu?Nunua mbuz wa kisasa kwani utaanza na faida ya maziwa
Mkuu utajuaje kama wanazaa mapacha?Nunua wale wanaozaa mapacha
Ndugu zanguni, natumaini wote wazima wa afya. Naomba kujua gharama za ujenzi wa banda la mbuzi zipo vipi. Nimepanga kuanza na mbuzi 10 maeneo ya kibaha. Lakini iwapo nitafanya vizuri kwenye ufugaji, ningependa kuexpand lakini kwa sasa nitaanza na hao mbuzi 10. Asanteni sana.
Pia kama mtanisaidia na bei za mbuzi nitashukuru. Bei za mbuzi wa umri wa kati, yaani sio mtoto na sio mzee nitashukuru. Na wapi naweza kupata kwa bei nafuu. Natanguliza shukrani.