Gharama za uendeshaji kesi ya TAL

Gharama za uendeshaji kesi ya TAL

Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
Analipia Abduli
 
Hilo ni dili watu wanapiga pesa kukusanya ushahidi wa uongo na utapeli, tunaserikali ya hovyo sn
 
Habari wanajukwaa?

Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma?

Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine.

Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
Kwani bajeti ya wizara ya katiba na sheria kazi yake nini?.
 
Back
Top Bottom