Gharama za uendeshaji kesi ya TAL

Gharama za uendeshaji kesi ya TAL

rhoda ryoba

Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
88
Reaction score
168
Habari wanajukwaa?

Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma?

Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine.

Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
 
Kwahiyo unataka anyongwe bila kupewa muda wa kujitetea? Kama ni hivyo ni wazo zuri pia serekali irekebishe
 
Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
haya mambo yanakua wazi nchi za wazungu, sio kwa waafilika
 
Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
MSITAKE HURUMA WACHA AENDELEE NA KESI HADI IISHE MSIOYTAKE HURUMA HAA
 
Sio anyongwe bila kusikilizwa, maahirisho yapunguzwe kesi ziwe na muda maalum, mwezi mmoja uwepo ushahidi, utetezi na hukumu zitoke mapema
Kesi zinazosikilizwa ni nyingi sana magereza yamejaa wahalifu kwahiyo kwa kesi kama ya Lissu haiwezi kusikilizwa mwezi mmoja tu, na inahairishwa na kupangiwa tarehe zingine ili watuhumiwa wengine wapate haki ya kusikilizwa pia, kesi za ubakaji za kina Pdidy tu hazisikilizwi kwa mwezi mmoja ndo ije kuwa kesi ya uhaini?
 
Nani amekuambia kashtakiwa kwa Uhaini?

Hivi nyie vitoto Uhaini mnaujua lakini? 😄
 
Wapo kwenye majukumu yao...

Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
 
Kesi zinazosikilizwa ni nyingi sana magereza yamejaa wahalifu kwahiyo kwa kesi kama ya Lissu haiwezi kusikilizwa mwezi mmoja tu, na inahairishwa na kupangiwa tarehe zingine ili watuhumiwa wengine wapate haki ya kusikilizwa pia, kesi za ubakaji za kina Pdidy tu hazisikilizwi kwa mwezi mmoja ndo ije kuwa kesi ya uhaini?
Wahusika wanasema hawajafungua kesi ya uhaini. Punguza kamdomo.
 
Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Wale usiwaone na mbwembwe zile wanakimbia wanaruka wanapiga goti, begi mgongoni 💩 hawalipwi hata mia mbovu, salary tu kwa mwezi haifiki 400k. Anyways kwahio wali maharage ni mtamu kuliko ugali kuku, na supu ya utumbo ni nzuri kuliko ya ng'ombe...
Ile inawanufaisha top layers tu the rest wanakula vumbi
Endelea
 
Kwahy watumishi wakifanya kazi zao za kawaida katika maeneo yao ya kazi hua wanalipwa posho?
 
Back
Top Bottom