Gharama za tra kutoa gari harrier 1999 cif 3300,cc 2150,

KAKAO

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
61
Reaction score
10
Wapendwa ntashukuru kupata bei ya kutoa hiyo gari from Dar port na gharama za TRA kiais gani,
generally kwa CIF $3300. to dar port itakuwa TSH.ngapi hadi nchi kavu(kwa naaba ya tayari kwa kuendesha.
Samahanini saana kwa usumbufu,Naomba saana kujua.
 
anza na hiyo calculator ya TRA..andaa kama mil 8..

03.jpg

x5fbf.jpg
 
Kaka nashukuru saana kwa Msaada ndugu yangu therefore,nikusema kama CIF TO DAR PORT NI $3400 THEN ALMOST MIL.13.3 NAICHUKUA GARI YANGU???Nidahanishe zaidi Mr.
 
Current retail cost kwa kila aina ya gari utaipataje?
 
Kaka nashukuru saana kwa Msaada ndugu yangu therefore,nikusema kama CIF TO DAR PORT NI $3400 THEN ALMOST MIL.13.3 NAICHUKUA GARI YANGU???Nidahanishe zaidi Mr.

Hapo weka upuuzi wa port charges, shiping line, registration na clearing charges jumla maximum 1m!!
 
Kaka nashukuru saana kwa Msaada ndugu yangu therefore,nikusema kama CIF TO DAR PORT NI $3400 THEN ALMOST MIL.13.3 NAICHUKUA GARI YANGU???Nidahanishe zaidi Mr.
pamoja na clearing n forwading, port charges, wharfage, insurance, fire, etc haitafika 14mil !! wasiliana na ofisi yako ya logistics kupata actual computation...
 
Ina maana Harrier ya 1999 bei ni sawa kabisa na RV4 ya 1997-2000?!!
 
Wapendwa ntashukuru kupata bei ya kutoa hiyo gari from Dar port na gharama za TRA kiais gani,
generally kwa CIF $3300. to dar port itakuwa TSH.ngapi hadi nchi kavu(kwa naaba ya tayari kwa kuendesha.
Samahanini saana kwa usumbufu,Naomba saana kujua.

Hongera kwa kuvuta Harrier
 
ni kweli mkuu, nimeibadilisha. kwa gari lake la 1999 naona ushuru utakuwa haujabadilika kwa calculator mpya na ya nyuma..

ulitumia exchange rate ya ngapi!?

Naomba kujulishwa nami pia,

Nimelipia gari jana, naomba kufahamishawa likifika dar mabali na TRA ni kipi napaswa kujiandaa nacho na makadirio yake mpaka gari itembee barabarani (sedan carina) including port chages etc
 
Back
Top Bottom