Gharama za matibabu Public Hospital

specialist88

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
1,140
618
Nilienda Hospitali ya Mpanda,aisee noma sana....Hata groves hawana,ukiona theater sasa hutaamini ilivyochoka,madaktari ni wachache wanazidiwa na wagonjwa mpaka unawaonea huruma,hospitali ya wilaya inakuwa na dokta mmoja kwa night nzima.....

Dokta anamuhudumia mtu aliyepata ajali,alafu nje ya theater kuna manesi wakimuomba akawaangalie waliozidiwa wodini.....

Licha ya gharama kuwa ndogo lakini kiukweli ni kama hakuna hospitali pale....

Serikali iache maigizo,itatue kero hizi ili watu wapate huduma za afya.
1461151460634.jpg
1461151481000.jpg
 
Back
Top Bottom