joe sela Member Joined Sep 27, 2016 Posts 20 Reaction score 3 Nov 8, 2016 #1 Waheshimiwa naomba mwongozo nataka kununua machine ya kutengeneza bisi hivyo nataka kujua √Changamoto zake √Faida yake √ Maintenance yake ikoje Naomba msaada
Waheshimiwa naomba mwongozo nataka kununua machine ya kutengeneza bisi hivyo nataka kujua √Changamoto zake √Faida yake √ Maintenance yake ikoje Naomba msaada