Gharama za kwenda Mikumi National Park

Gharama za kwenda Mikumi National Park

Churwaaa

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
74
Reaction score
94
Wanabodi,

Mwaka jana December mwanangu wa Std v alikuwa wa 5 kati ya wanafunzi 45 darasani. Nikamwahidi akiwa wa kwanza nitampeleka Mikumi akaone wanyama.

Juzi amekuja report ikionesha amekuwa wa kwanza na anasumbua mda wote nimpeleke Mikumi kama nilivyomwahidi.

Naombeni mwenye kujua gharama za chini kwa mtanzania wa kawaida kabisa anijuze, nitakuwa mimi na wanangu wawili nipo Dar.

Ahsanteni
 
20000 getini,ila gari unakodi kwa gharama zako,mimi nimelipa 80, ni maelewano.,navyoandika sasa hivi nipo pembezoni mwa mbuga natembea tu kwa mguu.
Hyo elfu 80 wanakutembeza siku nzima au vp
 
Dollars 400 kwenda na kurudi kwa kutumia landcruser mkonge ya ksmpuni la utalii. Getini ni sh 5000 kwa mtu mmoja kabla ya VAT. isipokuwa mtoto chini ya miaka 5 huyo halipii.
 
Wanabodi,

Mwaka jana December mwanangu wa Std v alikuwa wa 5 kati ya wanafunzi 45 darasani. Nikamwahidi akiwa wa kwanza nitampeleka Mikumi akaone wanyama.

Juzi amekuja report ikionesha amekuwa wa kwanza na anasumbua mda wote nimpeleke Mikumi kama nilivyomwahidi.

Naombeni mwenye kujua gharama za chini kwa mtanzania wa kawaida kabisa anijuze, nitakuwa mimi na wanangu wawili nipo Dar.

Ahsanteni
Masoud Kipanya ana ofa ya kupeleka watu huko
 
Hyo elfu 80 wanakutembeza siku nzima au vp
Mnazunguka sehemu muhimu wanapopatikana aina fulani ya wanyama kwa wingi ,hamzunguki tu bila mpango,kuna maeneo wanyama kama simba huwapati,mpaka eneo fulani,hivyohivyo kwa wanysma wengine
 
Na ukishatoka mbugani sehemu nzuri ambayo utaweza kupumzika na kulala ni Vamos Hotel,pako vizuri sana wala hautajuta ukifika ktk hotel hiyo na bei yake ni nzuri sana
 
Kuna rafiki yangu aliniambia jana kuwa ameshituka kusikia umbali wa kutoka Dsm Mikumi ni kilomita 285 kwa mujibu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) akiwa amesikia taarifa iliyopo kwenye video inayotangaza utalii kwenye mabasi.

Nimeingia mtandaoni nikaona hii 299.5 Km Distance from Mikumi to Dar es Salaam

Nafahamu kwenye vibao vya Tanroads wameandika
Dar - Morogoro ni Km 193
Morogoro - Mikumi ni Km 120
Nilitegemea Dar - Mikumi ingekuwa Km 313
 
Mikumi park entrance fee
Miaka 5 adi15 ni 3000
miaka 16 nakuenderea ni 6000
izo gharama zipo pamoja na Vat.
MALAZI- hifadhini kuna Tanapa Bandas kuanzia elfu40 pamoja na chai asubuhi, ndiyo cheap accomodation inside the park otherwise uende mikumi Mjini ambapo adi elfu15 unapata malazi
USAFIRI- Kwa hifadhi ya Mikumi unaruhusiwa kutumia gari yeyote kuzunguka nayo siyo lazima 4 wheel ni kutokana njia zake zipo imara kulinganisha na hifadhi zingine,
Malipo ya gari kuingiza hifadhini inategemea na uzito wa gari lakini ni pesa ambayo aizidi elfu 30...

Kwa maelezo zaidi au kukufanyia booking malazi au Tenda ya kukuongoza kwa Mikumi Na hifadhi zingine +255712944010
 
Kwa iyo kama nimeshafika Mikumi mjini kwenda mbugani kuona wanyama niwe na Jumla Kama ngapi?
 
Mwanafunzi analipa 3,000, Mtu mzima ni 6,000 hapo ushaweka na VAT zao, kuingia na gari yako haizidi 40,000 inaweza kushuka kutegemeana na ukubwa wa gari, tour guide nae ukimpa 40,000 itapendeza zaidi.
Nenda na kadi yako yenye VISA ili uchanje tu taap.
Tunyweni bia jamani. Happ Mikumi waru to wanyama bure daily tukienda Mbeya
 
20000 getini,ila gari unakodi kwa gharama zako,mimi nimelipa 80, ni maelewano.,navyoandika sasa hivi nipo pembezoni mwa mbuga natembea tu kwa mguu.

Nimepita hapo nikakuona unagongea sigara kwa nyati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom