Gharama za kutoa gari bandarini

Gharama za kutoa gari bandarini

deezekiels

Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
42
Reaction score
3
Habarini wadau.., naomba msaada kwa kujuzwa gharama za kutoa hii gari pale bandarini dar es salaam:

Make:Toyota

Model: Mark II Blit

Manf: 2007/3

Cc: 2590

CIF: USD 1850

Chassis#: JZX 110-0022307
 
nenda kwa ajent...............wanaotoa magari au nipm nikuunganishe nae mhusika umuulize maswali hayo.
 
Kama hujui nyamaza, ndomana mmefanya mavyongovyongo bungeni akili nusu .

kwa nn hatuko serious na issue zenye mantiki? watanzania tubadilike sio kufikiria upuuzi nenda jukwaa la utani hili huliwezi mkuu
 
Habarini wadau.., naomba msaada kwa kujuzwa gharama za kutoa hii gari pale bandarini dar es salaam:

Make:Toyota

Model: Mark II Blit

Manf: 2007/3

Cc: 2590

CIF: USD 1850

Chassis#: JZX 110-0022307

Ata hao maajenti watakupa makisio ya kubabaisha tu maana ushuru wa nchi hii haueleweki japo 'formular' zipo,gari yako ni ya mwaka 2007 hivyo ni ngumu sana CIF yako ya $ 1850 itumiwe na TRA,wanawezasema CIF ni $5000 hapo hesabu yote itakuwa imeharibika.Mwezi jana niliagiza Harrier ya mwaka 2006 makisio ya agent yalikuwa 8ml TRA wakasema almost 15ml,hivyo makisio utayopewa na agent ni sawa lakini lazima uandae pesa ya ziada lolote lawezatokea.
 
Yaani mkuu hapo ndo biashara ya kuagiza magari Bongo ilipo na changamoto. TRA mkeka wametoa ila hawautumii. Isitoshe CIF unayo unawapa kisha wao wanakubambika ya kwao.
Taaabu kweli kweli. Element za rushwa zinasumbua sana hili taifa.
 
kwa gari yako
[TABLE="width: 356"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Current Retail Selling Price[/TD]
[TD] 18,063[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation[/TD]
[TD]50%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value[/TD]
[TD] 4,453[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value[/TD]
[TD] 4,453[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%[/TD]
[TD] 1,113[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base[/TD]
[TD] 5,566[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Duty 10%[/TD]
[TD] 557[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base[/TD]
[TD] 6,123[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%[/TD]
[TD] 1,102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes[/TD]
[TD] 2,772[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes in TSHs[/TD]
[TD] 4,573,919[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

add around 3oo,000 ya registration, $150 shipping line agent fees and 300,000 port chargers
 
Back
Top Bottom