Gharama za kutoa gari bandarini

Gharama za kutoa gari bandarini

Masterproud

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
441
Reaction score
119
Asalam aleykum. Ndg. naombeni msaada kwa wenye ufahamu na gharama za kulitoa gari aina ya Subaru Forester (2005) bandarini. Naomba kujua aina ya kodi na gharama zake hadi inatoka. Na je inaweza chukua muda gani bandarini? Asanteni.
 
Mwaka hautoshi kujua kodi
Weka displacement ya engine..ikiwezekana link unakataka kuinunua ili tupate details zake
 
Check kwenye web ya TRA utajua kuhusu kodi na mengineyo.
 
ili uweze kupata kodi ni lazima cc za hiyo gari utaje, mwaka wa matengenezo hapo utajua kodi ya tra na kujua gharama nzima unatakiwa utoi bei ya hiyo gari fob au cif. Ndio tutajua ila kama ya 2005 kwa gari hiyo kwa makadirio andaa kuanzia 10 na kuendelea.
 
:car: Itakubidi uangalie Engine capacity 4 more details ingia mtandaoni tafuta TRA Act ya 2004 schedure zipo nyuma ya Act
 
Back
Top Bottom