Gharama za kutembelea Saadani national park

Gharama za kutembelea Saadani national park

Haaa wewe hayo malaki unalipa kwenda kuona wanyama tu!!!! alafu eti soda 3000 na chakula ya wanaume wa dar 10000 wewe acha kabisa kwani ng'ombe na mbuzi sio wanyama na kuku sio ndege kuna njiwa na wengine wengi (wakikosa hao tutashangaana sisi wenyewe kwa na sisi ni wanyama) huwezi kunitoa hapa kwenda kulipa hayo mahela yote eti!! kuona wanyama weeee!! kwani nawachukua si wanabaki.
 
Yani hizi garama ndio zinatupa ganzi kwa kweli. Ukweli garama za mbugani bado ni kubwa sana sana. We fikiria upo na familia unataka mka furahi lazima mtu ujipange sana sana. Mm hapo tu ndio nashindwa japo napenda sana.
Saadani very cheap, sie tulikua kama familia tulikua wakubwa watatu na watoto watano jumla 8, na IST haikufika 20,000 kwa wote, sema tour guide tulimlipa nimesahau bei nahisi elfu kumi tu, uwe na kadi, kama huna unasaidiwa
 
Mkuu kwa uzoefu wako unadhani nikiondoka na rav4 yangu na akiba ya laki tano na familia ya watu wazima wanne na watoto wawili niafanikiwa return dar?
Lala bagamoyo, ili uamke asubuhii kwenda saadani, na kurudi lala bagamoyo upumzike
 
Back
Top Bottom