Habari mkuu!. Nikupongeze kwanza kwa kuwa na malipo wazo hilo la kutembelea hifadhi zetu!.Nataka kwenda kutembelea hiyo hifadhi naomba mwenye uzoefu wa huko anipe estimate ya gharama
Asanteni
Asante sana kiongozi,gari linalokubalika hifadhini lina sifa zipi?na kama nina gari je nawezakupata guider?Habari mkuu!. Nikupongeze kwanza kwa kuwa na malipo wazo hilo la kutembelea hifadhi zetu!.
Kwa uzoefu wangu wa mbuga na vivutio vingi nlivyobahatika kuvitembelea Tanzania hii ntakueleza kuwa kwa Mtanzania gharama za hifadhi si kubwa sana.
Kwa mtu mzima sasa ni kati ya
1. Tshilingi 5000 mpaka 10000(entry fee). Hii inalipwa pale getini na hailipwi CASH hivyo uwe na akaunti ya CRDB ili kadi yako ichanjwe pale getini kukata gharama hizo. ELEWA BILA HIYO KADI HUTAINGIA LABDA umkute mhasibu pale getini ana kadi yake atakusaidia. Au lipia kabisa mjini uende na risiti.
2. Usafiri. Hapa ndo kuna tatizo aiseee....gharama ni kubwa sana kwa makampuni yanayotoa hii huduma LABDA UWE NA GARI LAKO NA LINALOKUBALIKA HIFADHINI KUFANYA HUDUMA ZA KUTEMBEZA WATALII.
Magari ya kukodi kwa mchana mmoja ni kati ya 400000 mpaka 500000(saa 12asbh mpaka 12 jion).
3. Meals: itategemeana na wewe unakula nini hasa unapokuwa ktk shughur kama hiyo. Andaa ugali maharage wako uende nao kama huwezi ku-afford gharama za chakula hifadhini ambazo ni kubwa sana. Soda buku 3 chipsi 10000 lkn bia sijui bei yake maana huwa situmii.
Kwa maelezo zaidi just google hifadhi husika utapata mawasiliano yao na hasa email address ukiwatumia huwa wanajibu haraka na maelezo tosherezi kabisa.
Sio mtaalam sana wa magar lkn sijui eti zote zenye "4 wheel driver" zinakubalika hapo mi sijui sana.Asante sana kiongozi,gari linalokubalika hifadhini lina sifa zipi?na kama nina gari je nawezakupata guider?
Yani hizi garama ndio zinatupa ganzi kwa kweli. Ukweli garama za mbugani bado ni kubwa sana sana. We fikiria upo na familia unataka mka furahi lazima mtu ujipange sana sana. Mm hapo tu ndio nashindwa japo napenda sana.Habari mkuu!. Nikupongeze kwanza kwa kuwa na malipo wazo hilo la kutembelea hifadhi zetu!.
Kwa uzoefu wangu wa mbuga na vivutio vingi nlivyobahatika kuvitembelea Tanzania hii ntakueleza kuwa kwa Mtanzania gharama za hifadhi si kubwa sana.
Kwa mtu mzima sasa ni kati ya
1. Tshilingi 5000 mpaka 10000(entry fee). Hii inalipwa pale getini na hailipwi CASH hivyo uwe na akaunti ya CRDB ili kadi yako ichanjwe pale getini kukata gharama hizo. ELEWA BILA HIYO KADI HUTAINGIA LABDA umkute mhasibu pale getini ana kadi yake atakusaidia. Au lipia kabisa mjini uende na risiti.
2. Usafiri. Hapa ndo kuna tatizo aiseee....gharama ni kubwa sana kwa makampuni yanayotoa hii huduma LABDA UWE NA GARI LAKO NA LINALOKUBALIKA HIFADHINI KUFANYA HUDUMA ZA KUTEMBEZA WATALII.
Magari ya kukodi kwa mchana mmoja ni kati ya 400000 mpaka 500000(saa 12asbh mpaka 12 jion).
3. Meals: itategemeana na wewe unakula nini hasa unapokuwa ktk shughur kama hiyo. Andaa ugali maharage wako uende nao kama huwezi ku-afford gharama za chakula hifadhini ambazo ni kubwa sana. Soda buku 3 chipsi 10000 lkn bia sijui bei yake maana huwa situmii.
Kwa maelezo zaidi just google hifadhi husika utapata mawasiliano yao na hasa email address ukiwatumia huwa wanajibu haraka na maelezo tosherezi kabisa.
Ha ha ha nimeipenda hiyo ya lecturer wa DS pale UDSM yupo kidwang...Sio mtaalam sana wa magar lkn sijui eti zote zenye "4 wheel driver" zinakubalika hapo mi sijui sana.
Gari za mjini hizi mara nyingi hazikubaliki....taxi na hizi gar za chini chini hizi hawazitaki. Wanataka gar zitakazo himili purukushani za barabara za hifadhini ambazo ni chafu na milima milima mingi.
Kuhusu guider ni juu yao wewe lipia hiyo gharama ya kuingia ukifika hifadhini utapatiwa mtu wa kukuongoza.
NASHAURI: ukitaka ufaidi zaidi uonyeshwe na utembezwe hata pasipofikika ANDAA HATA 20000 pemben mpe huyo guide kwa pemben atakuwa mchangamfu na maelezo kam lecturer wa DS

Mkuu ni kujipanga tu hata kama ni kwa kudunduliza mwaka mzimaYani hizi garama ndio zinatupa ganzi kwa kweli. Ukweli garama za mbugani bado ni kubwa sana sana. We fikiria upo na familia unataka mka furahi lazima mtu ujipange sana sana. Mm hapo tu ndio nashindwa japo napenda sana.
Mkuu gharama si kubwa hifadhini.Yani hizi garama ndio zinatupa ganzi kwa kweli. Ukweli garama za mbugani bado ni kubwa sana sana. We fikiria upo na familia unataka mka furahi lazima mtu ujipange sana sana. Mm hapo tu ndio nashindwa japo napenda sana.
Mkuu kwa uzoefu wako unadhani nikiondoka na rav4 yangu na akiba ya laki tano na familia ya watu wazima wanne na watoto wawili niafanikiwa return dar?Mkuu, mimi nikiri kuwa ni mdau mzuri wa Utalii wa ndani, gharama kwa sasa kwa Mtanzania kutembelea hifadhi yoyote ile ya Taifa ni Tsh. 10,000/= entrance fee na Utailipia VAT ambayo ni Tsh.1,800/= jumla ni Tsh. 11,800/=
Kuhusu usafiri kwa hifadhi ya Saadani ni changamoto kidogo ila kama una rav4 unaweza kuitumia ila kwa upande wa River Pangani...utatumia boti kubreeze
All the Best.
Usiache kutimiza ulilo plan mkuu.
Kama unataka kuona na kufurahia dunia nenda hifadhi yaan burudani utakayo ipata ni ya miaka kadhaa kutoka kichwani kwako. Mwaka juzi nlikuwa na tour ndeeeeefu kutembelea vivutio vilivyopo nyanda za juu kusini( mbeya na iringa) kiukweli sitakaa nisahau niliyoyaona na kujifunza. Kuna maajabu sana Tanzania kwetu humuAiss bia situmii mkuu
Hiyo Inatosha Kabisa ikiweZekana bebeni na soft drinks zenu Sadani kuna vyumba vya wageni wa kawaida pia Tanapa wana hostel za kulala wageni. Kwa gharama za kulala hotel zilizokuwepo ndani ya Sadani ni kubwa Hiyo Pesa haitatosha.Mkuu kwa uzoefu wako unadhani nikiondoka na rav4 yangu na akiba ya laki tano na familia ya watu wazima wanne na watoto wawili niafanikiwa return dar?