Kwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora
Mkoa wa tabora maji ya ardhini yako mbali sana, take care usitapeliweKwa wale wenye makampuni ya kuchimba visima Tabora, naomba kujua gharama za kusurvey na kuchima kisima maeneo ya Sikonge Tabora