Gharama za kusoma CPA nchini Tanzania

njoro

Senior Member
Dec 21, 2010
178
8
Nimemaliza chuo BCOM ACC natarajia mwakani kusoma CPA module E na F je itanigharimu kiasi gani?
 
Nimemaliza chuo BCOM ACC natarjia mwakani kusoma CPA module E na F je itanigharimu kiasi gani?
elfu 12,000 mitihani.....tution unatafuta mwenyewe na mwalimu wa tution unamtafuta mwenyewe wewe ni kulipia mitihani na kusubili necta na cpe kama private candidate:loco:
 
na unaweza kusoma CPA wakati bado unasoma barchelor?
Yeah, but sio kwa "Final Modules" E &F.
Yaani vigezo vya hizi final ni either Advanced Diploma ya Account, Bachelor au Module D.

Sasa Kama unataka uwe unasoma Bachelor halafu uwe unafanya final modules, assumption ni kwamba ulishawahi kufikia module D,

Otherwise, haiwezekani!!
 
Yeah, but sio kwa "Final Modules" E &F.
Yaani vigezo vya hizi final ni either Advanced Diploma ya Account, Bachelor au Module D.

Sasa Kama unataka uwe unasoma Bachelor halafu uwe unafanya final modules, assumption ni kwamba ulishawahi kufikia module D,

Otherwise, haiwezekani!!

shukrani mkuu
 
wakuu, naombeni mnijuze gharama za kusoma cpa kwa tunaotegemea kuanza july. napenda kufahamu ada inayotakiwa kulipwa nbaa ni kiasi gani...thanks in advance.
 
Samahani wadau naomba kuuliza nimemaliza diploma bt naitaji kujiunga na CPA,je nivigezo au sifa gani zitanifanya niweze kujiunga na CPA?Msaada jaman.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom