Gharama za kusafirisha mzigo kg1 kutoka China ni dola ngapi?

Diesel generator

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
706
660
(1)Kilomoja ya mzigo kwa kutumia usafiri wa ndege kutoka china kuja Tanzania ni dola ngapi?.

(2)Kilo moja ya mzigo kutoka dubai kuja Tanzania ni dola ngapi?.

(3)Mzigo mdogo ambao ni sawa na robo kontena au mafulushi machache yanaweza safilishwa Kwa meri kuja dar ? ,au ni lazika mzigo ujae kontena?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Dora ndio nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu usafirishaji wa mizigo inategemea unatumia agent gani wa usafirishaji pia aina ya mzigo, mzigo ka simu au laptop bei ya usafirishaji inakuwa tofauti na bidhaa nyingine ka nguo, viatu n.k kikubwa unatakiwa kuwa specific kuwa unataka kusafirisha nini
 
Swali lako liko general sana kiasi..ila kwa kuanza baada ya kujua aina mzigo, bei na supplier wako lets say HDTC, China, yeye atakutumia invoice na bill of landing..hii inabeba maelezo yote na gharama za kufika.

Kwa mizigo yenye thamani ya dola 5000 na zaidi utatakiwa kulipa atleast 1.2% ya FOB kama pre shipment..

Baada ya hapo kuna documents utapatiwa kulipia ikiwemo Tax Assesment Notice(TAN),Derivery and Disposal Order(D&DO).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakika huu ni msaada kwa wengi
 
Thanks!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ahsante kwa kutufumbua macho wengi..
 
Kuna APP Mimi naitumia Ina ofisi hapa China inaitwa INTERAFRICA
Hii kampuni inasafirisha mizigo yote ya KIKUU app ambayo ni online shopping inayotoa bidhaa China to Africa.
Costs za usafiri kwa KG inategemea na bidhaa kama general goods, ni nywele, documents na kadhalika
ILA bei ni 10$ -11$ per KG
Hii ni pamoja na clearence fee
You collect your goods office kwao.
Na delivery time ni 10-14days maximum
NA PIA MZIGO WAKO UKIWA MKUBWA SANA IN TERMS OF VOLUME HUWA CHARGES ZINAONGEZEKA.
Hii huduma it’s available to people living in China yaanii they only send to Africa from China, so they require a Chinese address and contact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…