Gharama za kusafirisha mzigo kg1 kutoka China ni dola ngapi?

Diesel generator

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
706
660
(1)Kilomoja ya mzigo kwa kutumia usafiri wa ndege kutoka china kuja Tanzania ni dola ngapi?.

(2)Kilo moja ya mzigo kutoka dubai kuja Tanzania ni dola ngapi?.

(3)Mzigo mdogo ambao ni sawa na robo kontena au mafulushi machache yanaweza safilishwa Kwa meri kuja dar ? ,au ni lazika mzigo ujae kontena?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
(1)Kilomoja ya mzigo kwa kutumia usafiri wa ndege kutoka china kuja Tanzania ni dora ngapi?.
(2)Kilo moja ya mzigo kutoka dubai kuja Tanzania ni dora ngapi?.
(3)Mzigo mdogo ambao ni sawa na robo kontena au mafulushi machache yanaweza safilishwa Kwa meri kuja dar ? ,au ni lazika mzigo ujae kontena?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo Dora ndio nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu usafirishaji wa mizigo inategemea unatumia agent gani wa usafirishaji pia aina ya mzigo, mzigo ka simu au laptop bei ya usafirishaji inakuwa tofauti na bidhaa nyingine ka nguo, viatu n.k kikubwa unatakiwa kuwa specific kuwa unataka kusafirisha nini
 
Swali lako liko general sana kiasi..ila kwa kuanza baada ya kujua aina mzigo, bei na supplier wako lets say HDTC, China, yeye atakutumia invoice na bill of landing..hii inabeba maelezo yote na gharama za kufika.

Kwa mizigo yenye thamani ya dola 5000 na zaidi utatakiwa kulipa atleast 1.2% ya FOB kama pre shipment..

Baada ya hapo kuna documents utapatiwa kulipia ikiwemo Tax Assesment Notice(TAN),Derivery and Disposal Order(D&DO).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kilogram moja ya mzigo kutoka China hadi Tanzania inategemea unatumia Kampuni gani ya usafirishaji mfano Kuna Kampuni Kama DHL, EMS, Posta, ESk, FedEx n.k na gharama za usafirishaji inategemea Kama mzigo ni express au normal lakini wastani ni USD 5 hadi USD 20 kwa kilogram moja.

2. Pia kilogram moja ya mzigo kutoka Dubai kuja Tanzania haina tofauti sana na maelezo ya kipengele namba moja ila kwa Dubai itakuwa bei nafuu kidogo sababu ni karibu kuja Tanzania ukilinganisha na China. Nitakupa Bei kamili nikifika ofisini sababu pia bei huwa zinabadilika kulingana na season na pia number ya mizigo kwa wakati husika.

3. Kama una mzigo mwingi ila haujajaa container ni vizuri ukasafirisha kwa meli, sababu bei ya shipment inakuwa ndogo ukilinganisha na meli pia ndege gharama inapimwa kwa uzito yani kilograms au tani ila meli gharama zake zinapimwa kwa cubic meter ( CBM).
Kuna namna mbili za kusafirisha mzigo wako Kama haujajaa container

(a) kusafirisha mzigo kwa kutumia Consolidator, hii inahusisha kuunganisha mizigo midogo ya watu wengine kwenye container moja na mzigo wako, anaefanya kazi hiyo ni Consolidator na wapo wengi katika kila Bandari au masoko makubwa yanayohusisha exportation.

(b) namna ya pili ya kusafirisha mzigo wako Kama haujajaa container ni kwa kutumia loose cargo format hapa inahusisha usafirishaji wa mzigo wako bila kuweka kwenye container, shipping line ndio wako responsible na process zote wakishirikiana na agent wako.

Kwa maelekezo na msaada zaidi unaweza kututafuta kwa shughuli zote za Import/Export, Clearance and Freight Forwarding Services.

Address
IKUMO Clearing and Logistics Ltd
LIDA House, third Floor,
Nkhurumah Street,
P.O.Box 74562, Dar es salaam
Phone No. +255624004050,
e-mail. ikumoclearing17@gmail.com.
Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
hakika huu ni msaada kwa wengi
 
Thanks!

mkuu ahsante kwa kutufumbua macho wengi..
 
Kuna APP Mimi naitumia Ina ofisi hapa China inaitwa INTERAFRICA
Hii kampuni inasafirisha mizigo yote ya KIKUU app ambayo ni online shopping inayotoa bidhaa China to Africa.
Costs za usafiri kwa KG inategemea na bidhaa kama general goods, ni nywele, documents na kadhalika
ILA bei ni 10$ -11$ per KG
Hii ni pamoja na clearence fee
You collect your goods office kwao.
Na delivery time ni 10-14days maximum
NA PIA MZIGO WAKO UKIWA MKUBWA SANA IN TERMS OF VOLUME HUWA CHARGES ZINAONGEZEKA.
Hii huduma it’s available to people living in China yaanii they only send to Africa from China, so they require a Chinese address and contact
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom