gharama za kureseat ACSEE

gharama za kureseat ACSEE

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
951
Reaction score
412
Msaada wadau.... Nina mpngo wakupiga pepa 2016,

Naomba mwenye kujuaa gharama kunziaa kituo mpaka usajili ni bei gani?!

Ntashkuru sanaa...
 
aisee kuwa na kumbukumbu ni kitu kimoja kizuri sana katika pitapita zangu mkuu niliona ukiisifia udom hasa college of humanity na CO.ED kuwa kuna vitoto vizuri huwa unachukua wawili wawili nkawaza upo chuo ila ww ni mzee wa totozi
leo nashangaa ukiomba msaada kuhusu kureseat paper nimeamini MFICHA MOTO MOSHI HUMUUMBUA haya baba pambana JF ni jukwaa la wasioona
 
Alifeli..hakureseat,
Alienda pale ARUSHA TECH..akamaliza.
Akajiunga COET.
Sasa ni ZONAL MANAGER TANESCO.
MY advice SONGA MBELE..achana na kurudia.
 
kar ya mwaka ila msaidie kwakua kashajitambua anaitaj nn
 
songa mbele ndugu achana nako utakata tamaa bure
maisha ni gia moja mbele
 
gharama ni kama ifuatavyo
1. Tsh 50,000 ada ya mtihani
2. ada ya kituo hutofautiana ila ni kati ya Tsh. 20,000 hadi 25,000
3. ada kwa ajili ya malipo Posta Tsh 7500
4. usajili ORES nao hutofautina ila ni kati ya 4500 hadi 6000

NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA
 
Nashukuru kaka
 
aisee kuwa na kumbukumbu ni kitu kimoja kizuri sana katika pitapita zangu mkuu niliona ukiisifia udom hasa college of humanity na CO.ED kuwa kuna vitoto vizuri huwa unachukua wawili wawili nkawaza upo chuo ila ww ni mzee wa totozi
leo nashangaa ukiomba msaada kuhusu kureseat paper nimeamini MFICHA MOTO MOSHI HUMUUMBUA haya baba pambana JF ni jukwaa la wasioona

Unataka niseme lugha ya direct kuwa namuombea mtu?!
 
Doh sasa ww ulifeli unataka kureset necta walikuonea au???
 
Wewe tuliaa..tuliiii, watu wana DSS PCB ACSEE....2013, ukajuaa ilikuwa ni brn ule mwaka, WAULIZE WALOFANYA ILE NECTA 2013 ILKUWAJE HUSUSANI ADV MATH NA PHY
 
Hakuna brn hapa nimeua huo mwaka 2013 na nilikua pcm sasa sielew jambo jipya unaloliongelea hapo ni lip
 
Back
Top Bottom