Gharama za kubadili rangi ya gari

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,920
15,607
Wanajukwaa,

Naomba kufahamishwa makadirio ya kupaka gari rangi nyingine (kubadilisha rangi) kwa gari ya Subaru forester.

Natanguliza shukurani!
 
Wanajukwaa,

Naomba kufahamishwa makadirio ya kupaka gari rangi nyingine (kubadilisha rangi) kwa gari ya Subaru forester.

Natanguliza shukurani!

Kama Upo Dar Es Salaam, Hizi Garage za Wachina Kubadili Rangi Bei zao 1.5M - 2M.

Angalizo, usipeleke kupiga rangi gari yako kwenye garage bubu., hao watanzania wenzetu wanaweza kupiga rangi ya ukuta kwenye gari yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidanganye watu. Wapiga rangi kwa Wachina ni hao hao waswahili wenzetu. Kinachozingatiwa ni namba ya rangi....

Nimewahi paka Noah kwa 700000 tu
Kama Upo Dar Es Salaam, Hizi Garage za Wachina Kubadili Rangi Bei zao 1.5M - 2M.

Angalizo, usipeleke kupiga rangi gari yako kwenye garage bubu., hao watanzania wenzetu wanaweza kupiga rangi ya ukuta kwenye gari yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajukwaa,

Naomba kufahamishwa makadirio ya kupaka gari rangi nyingine (kubadilisha rangi) kwa gari ya Subaru forester.

Natanguliza shukurani!

kubadili rangi ya gari, kutoka rangi inayosomeka kwenye kadi, basi hilo shauri lazma polisi ihusike na wakupe na docs zao. Sina kumbukumbu, unaanza kubadili kwanza au unaenda trafic kwanza kwa kibali
 
kubadili rangi ya gari, kutoka rangi inayosomeka kwenye kadi, basi hilo shauri lazma polisi ihusike na wakupe na docs zao. Sina kumbukumbu, unaanza kubadili kwanza au unaenda trafic kwanza kwa kibali

Dah
Nimekumbuka kuna jmaaa yangu alibadilisha rangi bila Polisi kujua ssa akaja kupata ajali kwenye Kadi rangi ingine na gari rangi ingine mbona aliliacha gari
 
kubadili rangi ya gari, kutoka rangi inayosomeka kwenye kadi, basi hilo shauri lazma polisi ihusike na wakupe na docs zao. Sina kumbukumbu, unaanza kubadili kwanza au unaenda trafic kwanza kwa kibali
Nenda kwa traffic police(Vehicle) anakupa vehicle inspection report then unaenda nayo TRA(Wakati huo rangi inaendelea kupigwa) TRA watakubadilishia na kukupa kadi mpya yenye rangi uliomba kubadilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajukwaa,

Naomba kufahamishwa makadirio ya kupaka gari rangi nyingine (kubadilisha rangi) kwa gari ya Subaru forester.

Natanguliza shukurani!
Inategemea na garage unayopeleka na ainabya rangi unayotaka kupaka na kule TRA uende tena na kadi ya gari ukabadilishe
 
Mtafute jamaa yupo Ilala anaitwa Amran 0713733286 anapiga rangi vibaya mno ata watu maarufu kina Baba Diamond na wale Wasafi wanabadili rangi kwa huyo jamaa au pitia page yake amran_autoworks ukaone kazi zake hutojutia
Tunataka anaepiga rangi vizuri sio vibaya
 
Ila wapo mkuu, wanapiga rangi mjapan anasubiri.

Ni kweli, hata kwenye casino na michezo mingine ya bahati nasibu.
kwa ujumla, unaambiwa wapo wanaojizolea mamillion ya shilling kila saa. Ila ni wachache

Kadharika, uwepo wa mafundi hodari kwenye hiyo taaluma, nakubaliana nao , ila sasa ni wachache. Kitu ambacho kinapelekea ionekane kama hawapo.
 
Asante
Mtafute jamaa yupo Ilala anaitwa Amran 0713733286 anapiga vizur sana mno ata watu maarufu kina Baba Diamond na wale Wasafi wanabadili rangi kwa huyo jamaa au pitia page yake amran_autoworks ukaone kazi zake hutojutia,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom