Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
Haina shida utapanga mahari kubwa kwa mwanao basi
Mkuu Sijui kwanini umemuwazia huyu Wa kike kwa gharama ambazo sio issue hata kidogo kwa mzazi. Umeisahau gharama ambayo ni kubwa kuliko iliyoambatana na hofu kwa wazazi wote Wa mtoto Wa kiume, gharama ya kijana kuupoteza uanaume wake kwa vitendo vya usodoma. Ukitafakari hilo utajua mtihani sasa ni kulea mtoto Wa kiume si Wa kike
Mahari stahiki ni ipi haswa?! Inapimwaje? Vigezo ni vipi? Mi nilifikiri mahari ni token of appreciation tu na sio kiashiria cha thamani halisi ya mtu sababu mtu hana bei...Ninaamini kuwa mahari haiwezi kufidia gharama za malezi ya binti ila ni heshima binti kuolewa kwa mahari stahiki.
Mahari stahiki ni ipi haswa?! Inapimwaje? Vigezo ni vipi? Mi nilifikiri mahari ni token of appreciation tu na sio kiashiria cha thamani halisi ya mtu sababu mtu hana bei
Dawa ni moja tu.
Kuwa Padri. Basi.
Utakuwa umeepuka gharama nyingi tu sio watoto peke yake.
Naamini neno stahiki ndio limekupa shida, tafuta kamusi ya Kiswahili uone maana halisi.
Quit being so discriminating, the world is not kind to anyone.Cherish your daughters and treat them right.
Do not deprive them of anything and least of all love.
Be close to them and give them proper upbringing.
The world is not so kind to girls.
The world is not so kind to girls.
umeamini vibaya!soma katikati ya mistari ukihusianisha mada kujua mantiki ya swali langu.
mtiririko ulikua ukilenga zaidi kipengele cha mahari ndo maana nikauliza ipi inayopaswa kua mahari stahiki,nini kinaifanya iwe stahiki,...wewe ndo hukuelewa
Napenda sana watoto wa kike ingawa sina mtoto, kuna katoto ka sister ka kike nakapendaga sana kuliko wa kiume ila tukubaliane tu ukweli kwamba the world is not fair to boys,it tends to be fair to girls.
Quit being so discriminating, the world is not kind to anyone.
And in case u haven't noticed the modern world is quite favorable to women than before. I can say this is a pretty much discriminatory thread (It doesn't even make sense), but you are not making any effort to be different.
Hahaha what gives, man?
Ila binafsi naogopa sana kupata mtoto wa kike, nitapata kesi na dhambi nyingi sana. Cuz you make her cry, i shoot you; you look at her in a typa way, i shoot your face; she sees your joystick, i chop it off. I will turn Toni Montana's Toni Montana.
So what are you doing taking the time to comment on a not so sensible topic?
Why not state your opinion instead of leanong on the discriminating elementa?