rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,140
- 7,868
Jibu halijapatikana bado
We ni the commedy comeback (the commedy episode II) kwa kweli!Wakuu naombeni msaada wa kujua gharama za kuishi USA au UK,pamoja na vigezo na masharti.Malengo yangu ilikua ni kuishi hizo nchi toka kitambo tatizo lilikua kipato.
Nataka nikaishi tu bila kufanya kazi sababu mimi nafanya online business ambazo ni worldwide so popote mimi life linaenda.
Naishi kwa sport betting,hii biashara nimeshakua addicted kwa hiyo sina mpango wa kufanya biashara yeyote katika maisha yangu.Sipati sana faida wala sipati sana hasara mtaji unakua taratibu.
Sitegemei mtu anishauri nikae bongo niwekeze,sijui nijenge majumba.Hapana mimi nimeshafanya fanya biashara nyingi najua faida na hasara zake kwa sasa nimeamua kuishi kwa maisha yakubeti mpaka kifo sababu na enjoy sana haya maisha.
Na hii ndio sababu nataka nikamalizie maisha yangu UK au USA.
Braza kumbe tupo wengi àmbao tumejiajrmkuu jaribu na FOREX maana hata Mimi nmeamua ndo kazi ya maisha yangu
Huyo muongo.. Juzi juzi kwenye jukwaa la ajira alikua anatafuta kazi ya ukarani nmb bank. Huko majuu kaenda lini?Kuna sehemu inaitwa Palestina ipo Dar, hata kimara huenda kukawa na maeneo yanayo itwa UK
ahaa halafu wanajiita diasporaKuna sehemu inaitwa Palestina ipo Dar, hata kimara huenda kukawa na maeneo yanayo itwa UK
dah lazima nilipe aisee,ngoja nikaanzishe uzi niseme niko diaspora lazima nitawapata wateja wa chai yanguAliwanywesha chai mkuu
Hata kitambulisho cha taifa huenda akawa hanaHuyo muongo.. Juzi juzi kwenye jukwaa la ajira alikua anatafuta kazi ya ukarani nmb bank. Huko majuu kaenda lini?