Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Wakuu naombeni msaada wa kujua gharama za kuishi USA au UK,pamoja na vigezo na masharti.Malengo yangu ilikua ni kuishi hizo nchi toka kitambo tatizo lilikua kipato.
Nataka nikaishi tu bila kufanya kazi sababu mimi nafanya online business ambazo ni worldwide so popote mimi life linaenda.
Naishi kwa sport betting,hii biashara nimeshakua addicted kwa hiyo sina mpango wa kufanya biashara yeyote katika maisha yangu.Sipati sana faida wala sipati sana hasara mtaji unakua taratibu.
Sitegemei mtu anishauri nikae bongo niwekeze,sijui nijenge majumba.Hapana mimi nimeshafanya fanya biashara nyingi najua faida na hasara zake kwa sasa nimeamua kuishi kwa maisha yakubeti mpaka kifo sababu na enjoy sana haya maisha.
Na hii ndio sababu nataka nikamalizie maisha yangu UK au USA.