Gharama za kufunga harusi

Wadau, sikutaka harusi kwa sasa ila mwanamke analilia hiyo, nimemwambia hali si nzuri anaumia sana. Sasa,Tshs. milioni 2 inatosha harusi ya namna gani, ndio hela iliyopo. Wazoefu nipeni hesabu. Ni Dar es salaam hapahapa.

hamna harusi ya ml2 hata vinywaj haitosh? Nyie fungeni Ndoa kama ni chuch mrudi mkalale Na sio mnapeleka watu ukumbini alafu unatuonjesha bia 5 tano ndo nin sas hapo
 
TAFTA MTU mwenye kiwanja bunju muombe kukitumia kodi viti 200 na mahema weka hapo ...chukua daladala ikubebe na bibi harusi na wapambe mkitoka kanisani mpige picha pale beach koko bure,, MC awe ndguyo, nunua maji ya kunywa ,maharage gunia moja na mchele kg 200...harusi inaisha na mil 2 zinabaki....mambo yoote fanya mchana jioni kula kona na mkeo...ndoa yako itadumu kuliko zile za maonyesho zinadumu miezi 6 wanakuja kullalama humu JF
 
No....ni pilika za dunia tu zimebana,nilifikiri uko upate masomo mengine kama mawili ya kwenye avatar yako kwa bill yako.....lolest

Hahaa everlenk usinfanyie ivo bana kesho ntakuwa na darsa tena uje basi..location ntakwmabia pM
 
Last edited by a moderator:
hiyo inatosha kama ukumbi ni nyumbani kwenu, ndugu wa pande mbili wasiozidi ishirini na marafiki wanne kutoka kila upande.. alafu full bites na soda na bia kret kadhaa (hii budget ukiondoa michango ... nazungumzia hiyo tshs 2 Million)
 
milioni 2 haitoshi? wewe ni dini gani? mbona kwa sisi waislam hata laki tano unafanya harusi ya nguvu.
 
Bwana weee harusi kubwa hizo ni mbwembwe tuu...ni pendekezo lako...mbona harusi ndogo tuu hata ya laki 5 inawezekana? kubalianeni mfunge ndoa ndogo tu.
A friend of mine alifunga ndoa ya watu 9 tuu party home, mziki wa home mambo kwisha....

Wewe sikuelewii..Unataka makuu wkt huna Ankara !!





Wadau, sikutaka harusi kwa sasa ila mwanamke analilia hiyo, nimemwambia hali si nzuri anaumia sana. Sasa,Tshs. milioni 2 inatosha harusi ya namna gani, ndio hela iliyopo. Wazoefu nipeni hesabu. Ni Dar es salaam hapahapa.
 
Da! kweli. Inatosha kama ukumbi ni wa nyumbani na mawazo yote, asanteni. Tell me a bit, if that 2m is that much low, what is at least a minimum cost for it (harusi ya kawaida, achana na ya kifahari), yaani kanisani, ukumbi wa kawaida, vinywaji kidogo...
 

Unachosema ni sahihi kabisa mkuu. Kwanza hata sikutaka kuwa na kazi hii kwa sasa, lakini imeng'ang'aniwa mno. Kibaya ama kizuri, jamii yote imetoa macho lazima sherehe.
 

Asante mkuu
 
safi sana mkuu, kama jamaa yuko serious akuPM umsaidie kuorganise

Dah, aisee wewe Mkuu uko vizuri sana. Nimechelewa tu kukujibu, hata harusi yenyewe bado, ndugu wameingilia kidogo, utakuwa mkombozi endapo nikiona walioingilia hakuna kinachoendelea. Thank you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…