Gharama za kufunga harusi

Kama harusi name mbwembwe zake hapo lazima usugue kiatu babu,Ila km ni ndoa takatifu andaa viwalo kwa ibada na just simple dinner kwa ndugu na marafiki was karibu,sio lazima ucomplicate maisha
 
You are very firm on your words.... najua huwezi ahirisha... na ukizingatia utukufu wako kipindi iko utakuwa mkubwa kuliko wa kwanza.
Ndo jitahidi kabla sijahairisha bure.......
 

safi sana mkuu, kama jamaa yuko serious akuPM umsaidie kuorganise
 
Mkuu ndio maana tunachangiana harusi kufanya mwnyw ni wachache wanaweza
 
Mbona inawezekana,sisi ambao tulioa tukiwa vyuoni ilikuwa poa sana....
 
You are very firm on your words.... najua huwezi ahirisha... na ukizingatia utukufu wako kipindi iko utakuwa mkubwa kuliko wa kwanza.

Ameeeeen, ila usikae sana bana,ila si unajua utukufu ukizidi na majukumu yanaongezeka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…