Mkubwa inategemea na mgodi wako unaotaka kuanzisha unadeal na kitu gan?kama dhahab thn ni plant tu na haina haja ya kua mchimbaj na cha maana unanunua mabak ya mchanga na gharama inakua ndogo tofaut na ukianzisha mgodi wa kuchimba kabisa
Mkuu, katika madini niliyowahi kuona ni rahisi kumtoa mtu hapa kwetu Tanzania ni Makaa ya Shaba, (Copper Ore) haya yanapatikana kwa urahisi na bila kwenda kina kirefu, Hapa nyumbani hakujawa na mtambo wa kusafisha haya makaa na kupata shaba, ila wafanyabiashara wanao nunua haya makaa nakuyasafirisha nje kwa usafishaji wapo, sijajua gharama ya tani moja (kilo 1000) ni shilingi ngapi ila ni mwanzo mzuri kwa mtu wa kati. Kila la kheri mkuu.
usiangaike kununua vile viroba mana vile viroba vina gharama yan zaid ya gharama,cha maana nenda kwa wale wachimbaj wadogo na wao wakishamaliza local process zao uwa wanaacha mchanga ambao umeshindwa kukamatwa na magunia na ule mchanga wanaoacha ambao wao wanaona ni uchafu yan una madin ya ukweli yan zaid ya madin ya ukwel na kama unataka kununua Crusher kama wao wanavoita(ila inaitwa SAG mill) then the best option ni kununua na kwenda kuiweka kwa wachimbaji wadogo kama huku kuna sehemu inaitwa Nyangarata na hizo mashine za kusaga ziko chache na inabd watu waende mbali ili wakasage.
Ni nzuri kununua mchanga afu uanze process zako na ujue reagents za kutumia na hata running cost.
Pa1 kaka
Vipi faida yake ikoje? Gharama zinaweza kurudi baada ya muda gani?Crusher unwa ina range kati ya 5 to 60million pande za huku kahama na kuna frnd wangu mmoja amenunua yake pande za morogoro na amesema ziko strong mana kila crushe ina depend na nature ya ore,kama hardness ya ore ni kubwa thn hzo mill hazitosurvive ila kama ore au mchanga sio hard then itadumu muda mrefu
Faida imekaaje mkuuCrusher unwa ina range kati ya 5 to 60million pande za huku kahama na kuna frnd wangu mmoja amenunua yake pande za morogoro na amesema ziko strong mana kila crushe ina depend na nature ya ore,kama hardness ya ore ni kubwa thn hzo mill hazitosurvive ila kama ore au mchanga sio hard then itadumu muda mrefu
Mimi nina mgodi wa ruby maeneo ya matombo morogoro kama kuna mdau yupo interested na hzo ishu za ruby tutaftane kwa sudikassimjuma@yahoo.com au 0717465686
Crusher unwa ina range kati ya 5 to 60million pande za huku kahama na kuna frnd wangu mmoja amenunua yake pande za morogoro na amesema ziko strong mana kila crushe ina depend na nature ya ore,kama hardness ya ore ni kubwa thn hzo mill hazitosurvive ila kama ore au mchanga sio hard then itadumu muda mrefu