Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Wakuu habari,
kuna jamaa anafanya biashara ya kuagiza magari, ananiambia hummer h3 inauzwa kwa milioni 70 yaani hapo gharama zote mpaka ushuru na kila KITU,Hivi hizi ni habari sahihi kweli?
Haya magari si yanauzwa milioni 300?
Sent using Jamii Forums mobile app