Gharama za fee na mambo mengine Mzumbe kwa undergraduate

Gharama za fee na mambo mengine Mzumbe kwa undergraduate

Mhigwa one

Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
60
Reaction score
46
Wadau kwanza namshukuru Mungu kwa kupata chuo hasa baada ya mwaka huu kuwa na ushindani mkubwa. Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliopita stashahada(diploma) na kupata GPA ya 4.6 niliomba udom na mzumbe na kupata course zifuatazo, udom nilipata Bachelor of Educational management and Administration na mzumbe nilipata Bachelor of science in economics - economic policy and planning but kwa sababu diploma nilisoma course hiyo niliyopata udom nikaamua ku confirm Mzumbe kwa kozi hiyo ya uchumi maana kilikuwa ni chuo nilichokipenda sana tangu zamani sana. Sasa wadau pamoja na kutumiwa joining na kila kitu( important documents) sijaona document inayofafanua fee structure kama wafanyavyo udom lengo ni kuanza taratibu za malipo nitumieni gharama za fee na other cost.Pia nielezeni umuhimu na fursa za kozi hiyo unaweza kuwa nani baadae mbali na kuwa mchumi tu. Karibuni kw aushauri
 
Kama umechaguliwa mzumbe, ingia kwenye account yako ya saris mzumbe utakuta kila kitu.
Kushoto kuna sehemu ya fee, na pia ukilogin tuu ndio msg unayokutana nayo.
 
kaka nimeiona sehemu kushoto imeandikwa fee and accommodation lakini inaniambia print niki command print vinakuja vitu vingine ndio maana nataka mwenye attachment ya fee and accommodation ai attach wadau
 
We unataka kujua ni sh ngapi unalipa au vp?
Kuhusu accomodation hata mimi sijaona nimepangiwa wapi bado. Ushauri wangu, log out halafu rudi, ukilog in inaleta kiasi cha kulipia first semista.
 
Ndio kaka nahitaji kujua ni shilingi ngapi nalipa kwa ujumla
 
Back
Top Bottom