mlimbwende
Member
- Jul 15, 2011
- 74
- 26
Wadau naomba mnijuze je gharama zaDSTV Full Installation ni sh ngapi? na ofisi zao ziko wapi?
Za magumashi,Wadau naomba mnijuze je gharama zaDSTV Full Installation ni sh ngapi? na ofisi zao ziko wapi?
Wadau naomba mnijuze je gharama zaDSTV Full Installation ni sh ngapi? na ofisi zao ziko wapi?
Fundi haumlipi hata senti! Mie nilipewa na usafiri bure! Fundi ni uamzi wako kumtoa hela ya soda!
Za magumashi,
au za halali?