Wakuu, waungwana na waheshimiwa. Hebu nijuzeni gharama ya kifurushi cha DStv bomba.
Natanguliza shukran
Karibu sana, uwe mvumilivu tu kupokea malalamiko yetu kwa lugha tofauti.Gharama ya kifurushi cha Dstv bomba ni 19,000
Kuna kipindi sikulipia kama miezi 3 nilipokuja kulipia 19,000 ilikata nikapiga simu ofisini nikaambiwa nilipe 20,000..naomba kujua mda gani ukipitiliza kulipa gharama zinaongezeka.Gharama ya kifurushi cha Dstv bomba ni 19,000
Kuna kipindi sikulipia kama miezi 3 nilipokuja kulipia 19,000 ilikata nikapiga simu ofisini nikaambiwa nilipe 20,000..naomba kujua mda gani ukipitiliza kulipa gharama zinaongezeka.
Hakuna gharama inayoongezeka badala yake ww utakua kuna wakati ulikua unaangalia free ,,sasa inapotokea case kama hii inafanyika compasation kufidia ule muda ambao ulioangalia bila kulipia
Dear DStv customer service,Gharama ya kifurushi cha Dstv bomba ni 19,000
Taratiiiiiibu Sie watu wa malaka tutaanza kuwajua kwa majina yenu halisi.......... Tutakachofanya ni kuzinasa tu hizi taarifa zenu za ukweli ili mkizingua tu vijana wetu muwe mnawakuta milangoni mwenuDear DStv customer service,
Today I paid reconnection fees @19,000 around 13hrs. Wonderfully enough I have not been connected till now. Ningelipia premium ingekula kwangu.
My IUC 7029243022
What do you want me to think if some of your competitors do reconnect automatically.
I have called your customer service but nothing doing.
Regards,
Disappointed customer
Uwe umejipanga lakini. Usije ukakuta nimepanda mpapai nyumbaniTaratiiiiiibu Sie watu wa malaka tutaanza kuwajua kwa majina yenu halisi.......... Tutakachofanya ni kuzinasa tu hizi taarifa zenu za ukweli ili mkizingua tu vijana wetu muwe mnawakuta milangoni mwenu
Hakuna gharama inayoongezeka badala yake ww utakua kuna wakati ulikua unaangalia free ,,sasa inapotokea case kama hii inafanyika compasation kufidia ule muda ambao ulioangalia bila kulipia
Huu nao Ni wizi Kama wizi mwingine. Kwann umwadhibu mtu asiye na hatia ?. Hapo mtumiaji Hana kosa Bali mwenye kosa ni mfanya kazi wenu.Hakuna gharama inayoongezeka badala yake ww utakua kuna wakati ulikua unaangalia free ,,sasa inapotokea case kama hii inafanyika compasation kufidia ule muda ambao ulioangalia bila kulipia
DStv? Are you serious?Hakuna gharama inayoongezeka badala yake ww utakua kuna wakati ulikua unaangalia free ,,sasa inapotokea case kama hii inafanyika compasation kufidia ule muda ambao ulioangalia bila kulipia
Duhu?Hakuna gharama inayoongezeka badala yake ww utakua kuna wakati ulikua unaangalia free ,,sasa inapotokea case kama hii inafanyika compasation kufidia ule muda ambao ulioangalia bila kulipia
Dear DStv customer service,
Today I paid reconnection fees @19,000 around 13hrs. Wonderfully enough I have not been connected till now. Ningelipia premium ingekula kwangu.
My IUC 7029243022
What do you want me to think if some of your competitors do reconnect automatically.
I have called your customer service but nothing doing.
Regards,
Disappointed customer
Gharama ya kifurushi cha Dstv bomba ni 19,000
King'amuzi chenu hakina thamani kwasasa ligi zimeisha labda mrudishe star TV na ITV ,
For how long my dear friend. It is now 20.30 PM while I paid before 14.00Please stay tuned on Ss200 and wait sorry