Gharama za drama ya mh.mbowe na police dar - ars,

Jombi Jombii

Senior Member
Jun 4, 2011
185
10
Makadirio ya Gharama za Drama ya Polisi na Mbowe

Helicopter Expenses(Fuel) 4,650,000/=Go & Return
Pilot and Co-pilot@ 300,000 1,200,000/=
Helicopter staff(6pax) @100,000 1,200,000/=
Police escort Dar-Ars(10Police)@50,000 askari waliopanda chopper 1,000,000/=
Police escort Central to JNIA 8cars full tank @200,000 1,600,000/=
Police escort Central to JNIA 8CARS@10Police staff@50,000 allowance 4,000,000/=
Police escort Ars Airport to court 10cars full tank @200,000 2,000,000/=
Police escort Central to JNIA 10CARS@10Police staff@50,000 allowance 5,000,000/=
TISS allowances Dar 3,000,000/=
TISS allowances Ars 3,000,000/=
SUB TOTAL 26,650,000/=
Uchakachuaji = Sub total 26,650,000/=
Kimjini mjini for Riz1 and others= Uchakachuaji 26,650,000/=
Time wasted,Depreciation of Assets(Choper and cars etc) 26,650,000/=
GRAND TOTAL 106,600,000/=(Millioni Mia moja na sita Laki sita)

JAMANI PESA HIZI ZINGENUNUA VITANDA DOUBLE DECKER 1,776(Kila kitanda Tsh.60,000) KWA WANAFUNZI 3,550 KWA MABWENI YA SHULE ZETU ZA KATA.

KARIBUNI TANZANIA KILA KITU KINAWEZEKANA ISIPOKUWA KUMSAIDIA MTANZANIA!!!!!!!!!!!!

 
hahahahahahahaha... I lyk ur thesis big brother,,,, kweli serikali yetu hamna kitu.. Nimeamini gamba limevuliwa lakini limekwamia shingoni
 
Weka na nakala hapa za malipo lasivyo unataka tujadili Umbeya! Hata hivyo kumsafirisha gaidi kama mbowe ni jambo mhimu! Nasikia gaidi huyo alipigwa sindano ya usingizi
 
Weka na nakala hapa za malipo lasivyo unataka tujadili Umbeya! Hata hivyo kumsafirisha gaidi kama mbowe ni jambo mhimu! Nasikia gaidi huyo alipigwa sindano ya usingizi

Haaaa haaaa! Gaidi gani anayejipeleka polisi? Wataweweseka sana mwaka huu, badala ya Chama Cha Magamba, kutimiza ahadi zao wanakomalia tu kupambana na CDM!
 
Saluti mkuu
Inawezekana gharama zilikuwa juu ya hizo lakini kwa uchambuzi watasema wametumia million 5 tu.
Magamba Bana.....
 
Weka na nakala hapa za malipo lasivyo unataka tujadili Umbeya! Hata hivyo kumsafirisha gaidi kama mbowe ni jambo mhimu! Nasikia gaidi huyo alipigwa sindano ya usingizi

kwa aina hii ya wanachama ccm mtaendelea kutegemea mahakama na polisi kuwaokoa,wewe unadhan mtu mwenye fikra hafifu kama huyu ana mchango gani kwenye chama na 99% ya wanachama wapo kama huyu.Kumtaja Mbowe kama gaidi mtu kama huyu anatumia nin kufikiri'
 
Back
Top Bottom