Ingia kwenye website ya DHL Tanzania ujaze mambo waliyouliza utapata estimation.Habari wakuu?
Kama kuna yeyote anayefahamu gharama za DHL au UPS za kutuma documents kwa gramu.
Kuna bahasha ina birth certificates inatakiwa kwenda Germany.
Mkuu tumia UPS wako vizuriHabari wakuu?