Voda wana offa ,kuna dabo bando via mpesa,kuna ile ofa maalum,kuna university ofa ambayo ni nzur kuliko mtandao wowote..Nilikuwa najaribu kuangalia bei za data kwa mitandao tajwa hapo juu, nilichogundua ni voda na tigo bei zao zafanana kana kwamba walipeana copy za bei mpya baada ya kupanga. nitaweka picha za bei kwa mitandao yote.
AIRTEL
View attachment 413635
HALOTEL
View attachment 413636
View attachment 413637
View attachment 413638
SMART
Hii ni Kwa 4G data plan DSM tu
View attachment 413639
Hii 3G data plan mikoani
View attachment 413640
TIGO
View attachment 413641
View attachment 413643
View attachment 413642
VODACOM
View attachment 413644
Baada ya kuangalia kwa makini, kwa unafuu wa bei mtiririko upo hivi;
1.Halotel
2.Smart
3.Airtel, Tigo & Voda
Mfano kwa Tsh 65,000 unaweza pata GB 71.6 halotel lakini kwa Tsh 95,000 unapata GB 30 kwa tigo na voda.
Smart naona wana bei tofauti kwa DSM ambako ni 4G tu na Mikoani ambako wanatumia 3G, hawajachambua sana vifurushi vyao.
NB;
Sio tangazo la biashara ila ni uchambuzi wa bei za data, ktk mitandao tajwa, binafsi natumia Tigo na Halotel kwa eneo nililopo.
Taarifa zote zimetoka website rasmi za mitandao husika.
TCRA hawawezi kufanya chochote, kama kufungia tu local channel zilipiwe mkono wao ulipendekeza na kubariki unadhani wanajema kwa watanganyika.Voda wana offa ,kuna dabo bando via mpesa,kuna ile ofa maalum,kuna university ofa ambayo ni nzur kuliko mtandao wowote..
Kutokana na hizo ofa na kwakujali speed basi voda wmetisha
Hivi ukipewa hata gb 100 za tigo kwa sh 500, sijui hta utazifanyia nini.
Anyway TCRA watusaidie ku control hizi bei.
Baadhi ya mikoa kuna offer maalumu.Kitu ambacho kwa Dar naona ni university offer tu na yenyewe ina magumashi yake.Vifurushi vya voda na tigo vinatumika maeneo yote ya Tanzania labda kuwe na offer maaulum kwa mkoa husika, au unamaanisha dar bei tofauti na mikoani?
Wewe hujui nini utafanya ukipewa hizo GB 100, lakini wanao lalamika wanajua nini watafanya wakizipata.Voda wana offa ,kuna dabo bando via mpesa,kuna ile ofa maalum,kuna university ofa ambayo ni nzur kuliko mtandao wowote..
Kutokana na hizo ofa na kwakujali speed basi voda wmetisha
Hivi ukipewa hata gb 100 za tigo kwa sh 500, sijui hta utazifanyia nini.
Anyway TCRA watusaidie ku control hizi bei.
Nawewe unalalamika?Wewe hujui nini utafanya ukipewa hizo GB 100, lakini wanao lalamika wanajua nini watafanya wakizipata.
4G ya tigo wangeiita slow G. jamaa ni vichefu chefu aibuSijawai ona mtandao kichefuchefu kama tigo hasa kwenye internet.
Nao wameanza shusha bundle zao mfano 499 ilikuwa mb 320 now ni 250 tshs 1000 ilikuwa 1gb nw ni mb 650hallotel kwass ndo habar nzito hao wengne tupa mbali huko....
Taarifa zote zipo kwenye website za mitandao husika, na pia offer hazijawekwa hapo kutokana kubadilika mara kwa mara.
Basi watakuwa hawajafanya updates kwenye tovuti yao.