gharama za ada na vigezo vya kujiunga FEZA BOYS kwa advance mchepuo wa PCB

Ngoja nikuitie Miss Natafuta maana boss wake ana mtoto huko..... Kwa hiyo atakupa full details.

Lakini mwaka 2013, ada ilikua 6.3millions per year.

Sifa ni ufaulu mzuri wa kukuwezesha kuendelea na kidato cha tano. What matters is your ability to pay the required fees. Kila la kheri Mkuu.
Zaidi tembelea website yao www.fezaschools.org japo naona kama haufanyi kazi.
 
.
IMG_20191204_135118.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom