nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 700
- 1,117
Huwa najiuliza sana hili swali, ikiwa hapa Tanzania kuna accomodations (lodge na guest houses) za hadi 20,000 au 15,000 kwa siku na ni nzuri tu.
Je, kwa nchi za wenzetu mfano Afrika Kusini na kwingineko hizi hazipatikani?
Kwa wale ambao tunataka kwenda kuexplore nchi za watu ila uchumi hauruhusu kukaa kwenye hotel kubwa. 🥲