Darasa linaukubwa gani? Unaposema darasa tu hata humu hatuwezi kukusaidia,weka dimensionsKichwa cha habari chajieleza,
Wandugu, wataalam na wazoefu wa ujenzi naomba mnisaidie,
Je ni tofali ngapi za block zinatakiwa kujenga chumba kimoja cha darasa? Kuna fundi aliniambiai inatakiwa tofali 1800 na mwingine akanambia tofali za block 1650, sasa nimebaki njia panda nikaona ni vyema nije humu kuwauliza mafundi ili nipata exposure na kuepuka kuibiwa, pia ili naweza pata fundi humu humu ambae pengine si mpigaji na kama tutaridhiana na kukubaliana.
Ni hayo tuu ndugu zanguni, ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa kaka ,shukraniMbona tofauti si kubwa kiasi cha kukutisha hivyo! Tofauti ya matofali 150 haifiki laki 2. Mara nyingi hayo ni makisio. Siyo lazima upate idadi kamili. Mi nashauri fanya budget ya matofali 1800 ambayo ndo kiwango cha juu. Ninalojua mfuko mmoja wa sementi unajenga matofali 70. Na eneo la mraba la ukuta kinachukua matofali 8. Sasa kokotoa eneao la mraba la darasa ambalo kulingana na standard za wizara ya elimu darasa ni mita 7 kwa mita 9. Usisahau kuondoa eneo pa madirisha la milango. Halafu kwasababu darasa lina gable kuna matofali mengine yatakatwa. Ndiyo maana unachopewa ni estimates.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa kwa Square meter naomba nieleweshe kidogo.Mbona tofauti si kubwa kiasi cha kukutisha hivyo! Tofauti ya matofali 150 haifiki laki 2. Mara nyingi hayo ni makisio. Siyo lazima upate idadi kamili. Mi nashauri fanya budget ya matofali 1800 ambayo ndo kiwango cha juu. Ninalojua mfuko mmoja wa sementi unajenga matofali 70. Na eneo la mraba la ukuta kinachukua matofali 8. Sasa kokotoa eneao la mraba la darasa ambalo kulingana na standard za wizara ya elimu darasa ni mita 7 kwa mita 9. Usisahau kuondoa eneo pa madirisha la milango. Halafu kwasababu darasa lina gable kuna matofali mengine yatakatwa. Ndiyo maana unachopewa ni estimates.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofali 70 mfuko 1!!!?anamaanisha pima mita 7 kuta 2 na mita 9 kuta2
kisha zidisha kozi ngapi then ondoa eneo la dirisha
kwa ujenzi wa kawaida kila tofali 70 utatumia mfuko 1 wa cement
hapo utapata idadi ya cement na matofali
na mafundi kila tofali wanajenga kati ya 250 hadi 500 inategemea na mkoa uliopo na stage ya ujenzi kadri kozi zinavyokuwa juu na bei inapanda
Zahanati ina mambo mengi gharama zina ongezeka kulingana na eneo husika sio chini ya milioni 15 kwa jengo la zahanatiHivi nikitaka kujenga majengo simple tu ya Zahanati inaweza kuchukua kama bei gani?
Kuna wengine wanapiga matofari 100 kwa mfuko na majengo hayaporomokiTofali 70 mfuko 1!!!?
Mkuu hiyo itakuwa ni bonding au unataka jengo liporomoke!?
Mmm baba tofari ya inch ngapi au perving block?Kuna wengine wanapiga matofari 100 kwa mfuko na majengo hayaporomoki