Jose...Umechagua umbo la juu tu ndilo lenye gharama
Wanga wengi mkuuJose...
Mbona umebadili ID mkuu?
mkuu ulipotea hadi ukazushiwa kifo. kaoge maji ya bahariWanga wengi mkuu
Hahaa...Wanga wengi mkuu
Ila si ungejiita hata Prince badala ya princess?Wanga wengi mkuu
kwani miwani si ni lensi pamoja na fremu?Pole sn kinachotakiwa nenda sehem ingine inayouzwa miwan na namba ya lense hiyo 6/6 wambie wakuwekee ktk fraim ya bei nafuu
Fraim ndo bei kubwa kuna fraim mpka za alfu 15au 20
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana lense nikitu kingine na fraim ni ki2 kingine ukipimwa unapata lense ndipo unanunua fraim! Sasa kinachokua na bei ni fraim kuna fraim mpaka za dhahabu na bei yke kubwa sn kinachotaki ni wewe kukataa kwamba huna uwezo wa kununua fraim ya bei kubwa! Ht hapo ulipo ambiwa alfu 80 wambie wakupe fraim ya bei chini ngoja nikwambie unawajua Machinga wanao uza miwani wale wanamiwani wanauza mpka alfu 5 ila mpka ujue namba yko ulo pimiwa ile miwani yao imeandikwa lense km wewe umepimwa 6/6 unaangalia namba hiyo hiyo unapata watu wengi hawatambui 2 em jaribukwani miwani si ni lensi pamoja na fremu?
asante sanaHapana lense nikitu kingine na fraim ni ki2 kingine ukipimwa unapata lense ndipo unanunua fraim! Sasa kinachokua na bei ni fraim kuna fraim mpaka za dhahabu na bei yke kubwa sn kinachotaki ni wewe kukataa kwamba huna uwezo wa kununua fraim ya bei kubwa! Ht hapo ulipo ambiwa alfu 80 wambie wakupe fraim ya bei chini ngoja nikwambie unawajua Machinga wanao uza miwani wale wanamiwani wanauza mpka alfu 5 ila mpka ujue namba yko ulo pimiwa ile miwani yao imeandikwa lense km wewe umepimwa 6/6 unaangalia namba hiyo hiyo unapata watu wengi hawatambui 2 em jaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jose nitakupa sababu...
Jose...
Mbona umebadili ID mkuu?
Huy sio Joseverest, ameiba avatar alisema na kna mwngin anaitwa CURICULUM ana avatar kam hii,,,,,jose sjui yuko wapPrincessAnne HIYO WEWE NDIYO Joseverest? KWA HYO WEWE NI MWANAMKE?
Watu wamezoea kupiga kweli!Acheni kukariri kuna miwani lens ni ghali kuliko frame natumia progressive lens materia yake somethin .poly carbon jumla 1 m lens kama 800 000
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana mkuuKanunue frem zinauzwa kwa wauza miwani ya urembo na ya jua kariakoo nenda kwenye yale maduka ya jumla utapata kwa sh 15,000 tu nenda na cheti chako wanapotengeneza miwani ya macho utapata hiyo lenzi kwa 15,000 tuu, utasave pesa nyingi sana, mimi frame nayovaa niliikuta sehemu waliponipima macho kwa wahindi wanauza laki na nusu lakini mimi nilinunua kwa elfu ishirini tu kariakoo nikawapelekea wakanivalishia lensi kwa elfu kumi na tano tuu
Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app