Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,087
- 72,502
😀😀😀😀🤣Situmekubaliana wiring ni laki mbili na nusu tu [emoji276]sasa mamilioni yanakuja Vipi tena?
😀😀😀😀🤣Situmekubaliana wiring ni laki mbili na nusu tu [emoji276]sasa mamilioni yanakuja Vipi tena?
Mmenitisha gharama kubwa nitawezana kweliUzi umefufuka
Tena bei zimepanda. Hizo bei walizosema hazi apply tena.Mmenitisha gharama kubwa nitawezana kweli
Uwii bei zipoje sasa wasijenipigaTena bei zimepanda. Hizo bei walizosema hazi apply tena.
Bei za waya zimekuwa 65,000 mpaka 70,000 roller moja ya single ya 1.5mm na 105,000 roller moja ya 2.5mm. Hizi ndio wire zinatumika kiasi kikubwa.Uwii bei zipoje sasa wasijenipiga
Hamna kila kitu kujipanga mkuu.na siku zote jambo zuri ni gharamaMmenitisha gharama kubwa nitawezana kweli
Izo ni Tronic cable (grade 1).unazipata kwenye duka la tronic kisutuUwii bei zipoje sasa wasijenipiga
Sh ngapi wanauza,mi sipo darIzo ni Tronic cable (grade 1).unazipata kwenye duka la tronic kisutu
Naweza tu bana mbona vingine nimewezaBei za waya zimekuwa 65,000 mpaka 70,000 roller moja ya single ya 1.5mm na 105,000 roller moja ya 2.5mm. Hizi ndio wire zinatumika kiasi kikubwa.
Hakuna kinachoshindikanaNaweza tu bana mbona vingine nimeweza
Mbona kwenye picha kuna bei zake kabisa wameweka mkuu.zifungue angalia vizuri.awafichi beiSh ngapi wanauza,mi sipo dar
Mkuu upo hapa kariakoo ?Mbona kwenye picha kuna bei zake kabisa wameweka mkuu.zifungue angalia vizuri.awafichi bei
Kama umeweza kujenga hutashindwa kufanya wiring.Naweza tu bana mbona vingine nimeweza
HapanaMkuu upo hapa kariakoo ?
Kabisaa nawezaKama umeweza kujenga hutashindwa kufanya wiring.
Ni kujipanga tu
Shukran MohamedMbona kwenye picha kuna bei zake kabisa wameweka mkuu.zifungue angalia vizuri.awafichi bei