tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Habari wana JamiiForums, nilikuwa napenda kufahamu gharama za kuweka lami katika barabara kwa kilomita moja itakuwa ina gharimu shillingi ngapi za kitanzania?
Duh!!! Wewe unahisi itakuwa sh ngapi?Lmaooo!!u re not serious
Lami ya kiwango gan mkuu maaana kila kiwango kina gharama yakeHabari wana jamii forum,nilikuwa napenda kufahamu gharama za kuweka rami katika barabara kwa kilomita moja itakuwa ina gharimu shillingi ngapi za kitanzania?
Mkuu kiukweli sio mzuri sana kwenye viwango labda kama itawezrkana dndosha tu hapa kila kiwango na gharama yakeLami ya kiwango gan mkuu maaana kila kiwango kina gharama yake
JLo husomeki .Gharama ya kuweka lami wapi? Barabarani au mjini?
Lmaooo!!u re not serious