Gharama ya kuweka lami ni kiasi gani?

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Habari wana JamiiForums, nilikuwa napenda kufahamu gharama za kuweka lami katika barabara kwa kilomita moja itakuwa ina gharimu shillingi ngapi za kitanzania?
 
LaUOTE="tawa driller, post: 16644173, member: 343581"]Habari wana jamii forum,nilikuwa napenda kufahamu gharama za kuweka rami katika barabara kwa kilomita moja itakuwa ina gharimu shillingi ngapi za kitanzania?[/QUOTE]
Lami ya kiwango gami mkuu? Maana kila kiwango kina gharama yake.
 
Lami inaanzia 800_2000MILLION hasa bei huwa kubwa endapo barabara husika inahitaji madaraja,au backfill&compaction.Lakini kama eneo tambarare mkeka unatandika kwa gharama nafuu lakini within hizo range hapo juu
 
Unataka lami ya mkeka au hii ya magumashi.
Kwa mkeka uliosimama kama Chalinze- Segera, sio bei ya kitoto. Cha muhimu ingia kwenye website ya ppra. Utaona orodha ya wakandarasi walioshinda tenda za kujenga bara bara, urefu wa bara bara na value of contracts. Then kama unajua hesabu za kugawanya na kuzidisha, utapata majibu sahihi.
 
inategemea na aina ya tabaka la lami utakalo maana kuna surface dressing na asphalt bitumen kwa hapo surface dressing ni rahis kuliko asphalt..asphalt kwa kilometa moja inakadiriwa kuwa ml 250 hapo unakuwa umejumlisha kila kitu kuanzia material,labour na transportation na equipment..
 
Back
Top Bottom