Ila wenyewe wanajeshi wanafurahia vita.Kuna kaka yangu mwanajeshi,miaka ya nyuma, alikuwa kwenye mchujo wa watu wanaoenda peace keeping Siera Leone.Jamaa wasiwasi ulikuwa asikose nafasi ya kwenda ili apate mshiko.Wakati sisi tunamuombea asiende yeye anaomba aende.Alifanikiwa kwenda akarudi salama!