Gharama Ya Kuwa Mwanajeshi

Gharama Ya Kuwa Mwanajeshi

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,102
FB_IMG_1539764926679.jpg
 
Angola wasaka nyoka wengi wamekatika miguu kwa mabomu ya kutegwa aridhini
 
dah, ndio mana mm nilikataa kata kata
Ila wenyewe wanajeshi wanafurahia vita.Kuna kaka yangu mwanajeshi,miaka ya nyuma, alikuwa kwenye mchujo wa watu wanaoenda peace keeping Siera Leone.Jamaa wasiwasi ulikuwa asikose nafasi ya kwenda ili apate mshiko.Wakati sisi tunamuombea asiende yeye anaomba aende.Alifanikiwa kwenda akarudi salama!
 
Kuna jamaa jana kwenye Benchi la ufundi la Cape Verde niliona ana mguu wa bandia.

Napenda Jeshi hata wakisema kuna vitu bado jeshi nitalipenda.
 
Ila wenyewe wanajeshi wanafurahia vita.Kuna kaka yangu mwanajeshi,miaka ya nyuma, alikuwa kwenye mchujo wa watu wanaoenda peace keeping Siera Leone.Jamaa wasiwasi ulikuwa asikose nafasi ya kwenda ili apate mshiko.Wakati sisi tunamuombea asiende yeye anaomba aende.Alifanikiwa kwenda akarudi salama!

Kaka yako alikuwa anataka mshiko.
 
Jeshi TAMU sana hasa kijogoo na kunyakua nyakua ayoooo leleeee ambaaaa.......Twaomba tufike salamaaaa
Haaaa haaa
Aliselema halija aliselema halija ...mchakamchaka chinja....
 
A
Haaaa haaaan
Aliselema halija aliselema halija ...mchakamchaka chinja....
Aaaaaaaa chura anaruka boxer!!! Jamani churaaaa!!! Chura anaruka Bila boxer....Ameinama...Ameinuka..Anson's hata huyoooo....Mmmmmm.. balaaa tupu kwa mananga
 
Back
Top Bottom