gharama ya kutoa vitu bandarin nilivyonunua online

gharama ya kutoa vitu bandarin nilivyonunua online

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
habari wakuu nlikuwa napitia mitandao ya kununua vitu online(ebay) sasa nikakuta vitu ni bei rahisi ajabu ,,sasa nilikwa nauliza hivi apo bandarini wana charge shilling ngap kukitoa kitu chako msaada wakuu!!!
 
Hebu tueleze vitu gani unataka kuagiza maake si kila kitu kinapitia bandarini. Na bei za ushuru zinategemea na kitu unacholeta.
 
Mie pia ninahitaji kujuzwa juu ya hilo. Surpose ni daladala itakayotumika kama school van. Hapo TPA ntaitoa baada ya kulipa sh ngapi?
 
Hebu tueleze vitu gani unataka kuagiza maake si kila kitu kinapitia bandarini. Na bei za ushuru zinategemea na kitu unacholeta.

okey mkuu nilikuwa nataka kuagiza gari ya kutumia pia na laptop
 
Mkuu gari sijui ila laptop unazitolea posta na ni bure.
 
Hata mimi Noah ya mwaka 200 itanigharimu sh. ngapi
 
Naomba anayelijua hli atujuze kiundan, kuhusu upokeaji wa mizigo kama ximu ,laptop
 
naomba nijuze utaratibu kuagiza mpaka kuipata laptop kwa kutumia ebay JuaKali
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nasubiri nipate kufahamu,,,,maana watu wengine tunaogopa hata kuagiza vitu nje ya inchi kwakuhofia gharama.
 
Hapana simu siyo bure ila gharam zake nafuu sana, Nikituma simu kumi wananiripisha si zaidi ya elfu kumi kwa moja.

Mkuu una uhakika na hilo, maana mimi nliambiwa kuwa 18% na 5% za tax (sizikumbuki) hivyo kufanya 23% ya bei uliyonunulia simu!?
 
Siledi tamu kweli nlikuwa naiona naipita kumbe burudani kweli. Sasa nisaidieni kuhusu kuibiwa mizigo posta. Je, kamchezo hako siku hizi kameisha?
 
Mkuu una uhakika na hilo, maana mimi nliambiwa kuwa 18% na 5% za tax (sizikumbuki) hivyo kufanya 23% ya bei uliyonunulia simu!?
Miye huwa natuma kutoka nje hivyo paperwork za custom najaza mwenyewe huku huku ila jamaa zangu wakizifuatia posta ndo wanalipishwa kiasi hicho. Kuhusu 18% na 5% sijui!
 
Kama simu na nguo unalipia import duty na vat. Computer, vitabu mara nyingi hulipii, kwa vitu vinavyopitia posta inategemea na mtu wa tra utakayemkuta cku hiyo ambaye ndo anakukadiria kodi. Mara nyingi sana seller huwa haandiki bei halisi kwenye pakage kukusaidia mnunuzi kutokulipia kodi kubwa.
 
Back
Top Bottom