Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,073
- 1,576
Nina kiwanja kilichopimwa tayari. Kina ukubwa wa 370 sqm.
Nimefika ofisi ya ardhi ya wilaya niliyopo nimeambiwa gharama ya jumla kupata hati natakiwa nitoe 170,000/=.
Nauliza wajuzi, kwa ukubwa huo wa kiwanja ni sahihi kupata hati kwa gharama hiyo?
Lengo nijue kama ni sahihi au vinginevyo.