Anna Deo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 608
- 420
NHC si ya watanzania, ni ya wahindi, wapemba, waarabu, wasomali, n,k na mafisadi wa kitanzania wenye hela haramu!! Mtu mwadilifu kazini hawezi kununua hizi nyumba!! Badala ya kuwauzia wazawa ambao wanaenda kazini kila siku ili wawe karibu na ofisi wanawauzia wahindi wafanya biashara.
Huenda ukawa umeita nyumba za wahindi,waarabu nk sababu unaona watu wengi wanaoishi kwenye izo nyumba ni wa nature iyo.ila tusisahau kuwa nyumba zile zilikuwa acquired through building acquisition act kipindi cha mwalimu nyerere.
Naweza sema ujasiri wa nyerere pekee ndio uliomsaidia akafanikiwa kuchukua nyumba hizi kinguvu toka mikononi mwa hao wahindi.Baada ya hapo baadhi ya hao wahindi walifungua kesi na wakashinda ila wengi wao hawakurudishiwa apartment nzima bali waligawana units na serikali.hivyo ndo maana bado tunaona wengi wao bado wapo(ex- owners)