Apo vigwaza mbona yako mengi sana,nenda pale wanapoyalaza pale center,ongea na madereva,unamtoa ya mafuta,na posho yake,anakua anakipigia kazi usiku kwa usiku
Kabisa kuna jamaa mmja tuko hapo kunduchi smbdy ntez ana mashine kama 7 za kuungaunga
Lkn znakodishwa
Hao walizozifungia ndan utakuta hawajichanganyi,zunguka matabata dampo
Jenga urafiki na ma OP hapo kazi zitakujiaa kama mvuaaa
1,gharama ya mwenye chombo ni laki kwa saa,
2, je hujawahi kuona yale magari yanayobeba vijiko,matrekta au bulldoza barabarani?,
3,nenda manispaa au uliza mtu aliyepo morogoro!
Yanaitwa lowbed na yanasafirisha kwa kibali maalum toka TANROAD na mwisho wa kutembea ni saa 12 jioni.. Kibali kinalipiwa na kinaombwa siku moja kabla na sometimes kuna escort inatakiwa
Full sheet ya total cost kukodi bulldozer
Kwa siku ni laki 8 mpaka 1.5M kulingana na ukubwa na ubora wa mashine
Mafuta ni kati ya kati ya laki 4 mpaka 5 kulingana na ukubwa wa mashine na bei ya mafuta
Kibali cha kusafirisha ni kama laki 1
Lowbed ni kuanzia laki 6 town trip mpaka milion 3 kulingana na umbali. Hiyo weka mara 2 kwenda na kurudi
Operator ni elfu 50 kwa siku masaa 8
Kama kuna masaa ya ziada ni OT kwa dereva na mashine
Wakuu
Hii kazi inahitaji Subra sana
Kama unapata hela za maana ...ni bora ununue hizi mashine na ufanye kazi zako mwenyewe huku ukizikodisha kwa Watu wengine
Wakuu
Hii kazi inahitaji Subra sana
Kama unapata hela za maana ...ni bora ununue hizi mashine na ufanye kazi zako mwenyewe huku ukizikodisha kwa Watu wengine